mummy let me tell u ladies,najua a perfect man hata siku moja hawezi ku react kwa manamke kwa kumpiga,hata kama umemkosea the best way is kuongea,sasa mimi mwanaume akinipiga namuhesabu kama hajakamilika,and you guys hakuna kitu ladies tunachukia kama kupigwa ni unyanyasaji,mbona nyie mkikosea hatuwapigi? mi mtu akinipiga walahi hata kama siwezi kuishi bila yeye itabidi nijifunze na ntakusaha maishani mwangu damn!