4 ladies only

4 ladies only

Kiba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
459
Reaction score
62
Hi, mimi ni kilana wa miaka 27.elimu yangu ni 4m4liver. ninaishi Mwanza kwa mara ya kwanza napita ktk jukwaa hili kutafuta mchumba ambaye nitaishi nae maishani sichagui elimu , dini na kibila umri kuanza miaka 18 hadi 22. Awe anaishi Mwanza na wilaya zake au Mara . Naomba tuwasilane kwa 0756506024 .ahsante na Mungu atatubariki.
 
huyo watu8 mtake radhi ni engineer tena aliyechora ramani ya jengo la BWM posta dsm pale.

mmmh! Wangu vipi? Embu fatilia vizuri hapo juu afu urudi hapa kufuta kauli yako! Ebo!
 
Last edited by a moderator:
Sasa kuandika hujui, english hujui, kutunza utaweza c ndio unatuolea tukupigie
 
Washikaji niko kwa hewa kilana hapa i'm good at my mother language only.
 
Hi, mimi ni kilana wa miaka 27.elimu yangu ni 4m4liver. ninaishi Mwanza kwa mara ya kwanza napita ktk jukwaa hili kutafuta mchumba ambaye nitaishi nae maishani sichagui elimu , dini na kibila umri kuanza miaka 18 hadi 22. Awe anaishi Mwanza na wilaya zake au Mara . Naomba tuwasilane kwa 0756506024 .ahsante na Mungu atatubariki.


Tittle ya thread inasema 4 ladies only lakini kwenye contents unasema unataka 1 lady only.Mbona unajichanganya kijana?
 
Back
Top Bottom