3D Render ya Victoria towers ndani ya Nairobi

giftcharles

Senior Member
Joined
Aug 11, 2015
Posts
147
Reaction score
77
Baada ya render ya PSPF towers, saizi nimeamua kufanya ya Victoria tower ndani ya jiji la Nairobi.

Cheki render ya PSPF hapa: https://goo.gl/6fz2eJ

Comp-4_00000-1.jpg

Comp-3_00000-1.jpg

Comp-2_00000.jpg

Comp-1_00000-1.jpg
 
Ni kwamba umecreate wewe izo design au unajifunza?

Hapana Mkuu, design original ya jengo ni ya mtu mwingine, mimi natumia tu majengo ambayo tayari yapo kama inspiration ya kufanyia 3d Modeling, lakini natamani siku kufanya design ya jengo langu mwenyewe.
 
Safi sana Kiongoz
 
Keep it up boy..

Ukisha kuwa vizuri nitafute maana nna mpango wakujenga bonge la tower kubwa kule kijijini kwetu ambayo EA haipo nikisha kuwa rais
 
Back
Top Bottom