300K naweza kupata used pc ?

Bingili

JF-Expert Member
Nov 4, 2019
266
698
Wakuu kwema
Laptop yangu old school HP G5000 imekufa rasmi baada ya kukaa nayo kwa miaka zaidi ya 10

Nina bajeti ya 300k natafuta laptop nzima isio na kipengele
Mimi very light user
Matumizi yangu makubwa ni kusurf na kutumia social media nikirudi home usiku
Kudownload na kuangalia movies kwa laptop
Kuhifadhi data zangu haswa picha movies/series

Naomba muongozo
Cc Chief-Mkwawa
 
Budget hio ukitafuta vizuri unapata i5 gen ya 3 ama 4, ila i3 unapata kirahisi.

Unataka laptop kubwa ama ndogo ndogo?

Mkuu kubwa yenye screen kubwa itafaa zaidi kwasababu ya changamoto ya macho

Nipe muongozo mkuu
 
Mkuu kubwa yenye screen kubwa itafaa zaidi kwasababu ya changamoto ya macho

Nipe muongozo mkuu
Kama hutaki Kuhangaika core i3 gen 3 mpaka ya 6 unaweza pata kwa hio budget. Itafanya kazi yako kwa ufasaha.

Ingia tu zoomTanzania ama jiji search i3 laptop.

Usitume hela online, uliza mtu duka lake lipo wapi kachukue mzigo dukani.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom