Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,799
- 165,546
Hapo ninapoandika taarifa hii,niko kwenye foleni ya kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.Mkoa ni Dodoma wilaya ya Dodoma mjini kata ya Kikuyu Kaskazini.
Tukiwa tunasubiri zamu yetu ya kujiandikisha,kuna mdau amenidokeza hawa jamaa wanaoandikisha wapiga kura, wanalipwa sh 15,000 kwa siku na maboss wao wanalipwa sh 20,000 kwa siku!
Ninachojiuliza,inakuwaje mtanzania mmoja alipwe sh 300,000 kwa siku akiwa pale mjengoni akituandikia katiba, alafu mtanzania mwingine alipwe sh 15,000 kwa siku kwa kazi ya kuandikisha wapiga kura wakati serikali ni moja?
Kama taarifa hii ni ya kweli,basi tabaka la walionacho na wasionacho litazidi kuongezeka siku hadi siku.