Wewe huyu!!!!
ukitaka kula, lazima uliwe----j.k 2011wana jamvi mimi ni msichana mzuri ndani na nje,very attractive,but nimetokea kupendwa na kumpenda mbaba mmoja mtu mzima,baada ya kuchoshwa na kero za vijana,huyu baba ana mke na watoto wa nne wakubwa,tatizo linakuja tu pale anaponiomba tufanye sex yani naogopa namuana kama baba yangu,namzungusha mpaka leo nothing happened na ni miezi sita sasa tangu tuanze mausiano,nifanyeje na mimi sitaki kuvunja uhusiano since ananisaidia mambo mengi
Mmmmmh!
Mzee kumkabili yataka roho ya kutu. Pata picha kijana akiwa mtupu atisha haswaaaaa!
Pata picha p zina makunyanzi, vuzieing full mvi! Bado ngozi nyorodo!
IGA UFE!
Mmmmh sikushsuri banz mwache akajilie mzee mwenzake lakii ujue mpaka lini utskila vys dezo.
Lakini huogopi michirizi ya nyama za uzee, I see horror movie here
what goes around.....................................
na wewe utaolewa,afu mme wako atakuwa anagegeda nje, sijui utalalamika