30 years older,anataka,nifanyeje?

30 years older,anataka,nifanyeje?

MPENZI no 3

Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
9
Reaction score
11
Wana jamvi Mimi ni msichana mzuri ndani na nje,very attractive,but nimetokea kupendwa na kumpenda mbaba mmoja Mtu mzima,baada ya kuchoshwa na kero za vijana,Huyu baba Ana mke na watoto wa nne wakubwa,tatizo linakuja tu pale anaponiomba tufanye sex yani naogopa namuana Kama baba yangu,namzungusha mpaka leo nothing happened na ni miezi sita sasa tangu tuanze mausiano,nifanyeje na Mimi sitaki kuvunja uhusiano since ananisaidia mambo mengi
 
Dah hio tofauti ya umri ni kubwa sanaaaa yaani huyo anakuzaa kabisaa hata sijui nikushauri nini?Fumba macho tu then utazoea taratibu mkishafanya mara kadhaa :smile-big::smile-big:Vizee vingine vina shida sana...
 
what goes around.....................................
na wewe utaolewa,afu mme wako atakuwa anagegeda nje, sijui utalalamika
 
mwambie naogopa ni kama baba yangu uone atakavyokwambia , wewe unapima kina cha maji kwa mguu , utazama si umuache tamaaa tu!!!!
 
Dah hio tofauti ya umri ni kubwa sanaaaa yaani huyo anakuzaa kabisaa hata sijui nikushauri nini?Fumba macho tu then utazoea taratibu mkishafanya mara kadhaa :smile-big::smile-big:

haha kati ya siku zote leo umenifurahsha saana! Afanyaje?
 
Dah! Nimekosa cha kukushauri mdogo wangu.Be around NITAKWAMBIA KITU!...
 
Kama wewe ni Wakristo achana nae dini hairuhusu kwa sababu ana mke hakuna future ni kutengeneza complication, na ata kama ni Waislam acha kugegedana kwa sana olewa ndio ujiachie wizi utakuponza
 
Dah hio tofauti ya umri ni kubwa sanaaaa yaani huyo anakuzaa kabisaa hata sijui nikushauri nini?Fumba macho tu then utazoea taratibu mkishafanya mara kadhaa :smile-big::smile-big:Vizee vingine vina shida sana...

lawama wamtupia mzee??
 
Mpe tu kama alivyosema mimi49 fumba macho au jifunike kanga usoni ili usione sura yake ukakumbuka kwamba unafanya mapenzi na anayeweza kuwa Baba yako na genye zote zikakata.
 
lawama wamtupia mzee??
Ahhh kizee kisotulia na vizee wenzie ahh jamani hata sijui nidigest vipi habari hii..Na huyu kijana pia kaenda mbali sana miaka 30 yarabi toba..si kina mvi mpaka kwenye ma***zi,halafu kisije kufia kifuani tu kwa mshituko wa moyo..
 
Wana jamvi Mimi ni msichana mzuri ndani na nje,very attractive,but nimetokea kupendwa na kumpenda mbaba mmoja Mtu mzima,baada ya kuchoshwa na kero za vijana,Huyu baba Ana mke na watoto wa nne wakubwa,tatizo linakuja tu pale anaponiomba tufanye sex yani naogopa namuana Kama baba yangu,namzungusha mpaka leo nothing happened na ni miezi sita sasa tangu tuanze mausiano,nifanyeje na Mimi sitaki kuvunja uhusiano since ananisaidia mambo mengi

nyauba mkubwa unapenda hela baada ya penzi wewe vipi bana mwachie kipapuchi mdingi apige mambo yawe shwari kwanini ulimkubalia sasa..
 
Sakata kabumbuu tu.....kwani kinachoshindikana nini?dude lake limeandikwa size?Watoto wadogo wanavaa size kubwa ya viatu.......usiogope ikiwa pesa yake huiogopi!!!!!
 
Toa contact zake kwa money mongers, watakushukuru
 
Wana jamvi Mimi ni msichana mzuri ndani na nje,very attractive,but nimetokea kupendwa na kumpenda mbaba mmoja Mtu mzima,baada ya kuchoshwa na kero za vijana,Huyu baba Ana mke na watoto wa nne wakubwa,tatizo linakuja tu pale anaponiomba tufanye sex yani naogopa namuana Kama baba yangu,namzungusha mpaka leo nothing happened na ni miezi sita sasa tangu tuanze mausiano,nifanyeje na Mimi sitaki kuvunja uhusiano since ananisaidia mambo mengi

Nakushauri acha kuwa na uhusiano na mume wa mtu, tafuta mume wako.
 
Mmmmmh!

Mzee kumkabili yataka roho ya kutu. Pata picha kijana akiwa mtupu atisha haswaaaaa!

Pata picha p zina makunyanzi, vuzieing full mvi! Bado ngozi nyorodo!

IGA UFE!
 
umechoka vijana..????

Umechoka nini kwetu vijana...????

Attractive ndan...na nje....!
 
Mmmmmh!

Mzee kumkabili yataka roho ya kutu. Pata picha kijana akiwa mtupu atisha haswaaaaa!

Pata picha p zina makunyanzi, vuzieing full mvi! Bado ngozi nyorodo!

IGA UFE!

alaa mbna ivo vitu vya kibabu anachukua
ampe papuchi mzee achezee chezee
mana najua kazi hawezi
 
Vijana hawana lolote. Huyu mbabu ndiyo saiz yako weyee. Mwenyewe umeshamzimia sasa nini unataka tukushauri? Mema yoote anakufanyia, weye wampiga chenga za sitaki nataka. Mzee wa watu anakodolea mimacho tu na kukuheshimu. Laiti angejua umemwandika huku jf. Mpe haki yake. Tena keshanunua ghali ka nini. Mpe au nikikutana naye nimfundishe akuagizie majeshi akugegede kwa nguvu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom