30 years inakaribia na mambo kama haya

Jipange. Fight, tafuta mtoto. Jiandae kuwa single mother. Usilie lie coz inaonyesha u muoga wa maisha. Wapo wengi wamΒ₯efanikiwa japo hawajaolewa

You are not consistent! Upandemwingine unalalamika watu kuzini, alafu huku unawaambia watu wapate watoto kabla ya ndoa.. Onyesha msimamo
 
Ukikosa mume kbisa ndio uishi bila mtoto kabisa hadi kifo...? Hujui mtoto ndio atakayekufariji katika upweke...
Usianze mapenzi mapema ila inapofikia wakati age ikisonga km hujampata wako tafuta mtoto....Mtoto ndie atakayekuwa mwenzako hata ukiumwa usiku unajua upo na mtu wakumuomba maji ya kunywa au kumwambia wasia wako..





You are not consistent! Upandemwingine unalalamika watu kuzini, alafu huku unawaambia watu wapate watoto kabla ya ndoa.. Onyesha msimamo
 
Ndoa zimekuwa dili kiasi iki kwa kina dada? washikaji oeni bana, hili suala la ndoa ni janga na bomu linalokaribia kulipuka.

unanichekesha sana wenzio wanasemaga bora siku hizi wakaangalie mikato ya chumba af watoke.
 
mbona kuna events za kutosha siku hizi watu wanaoa na kuolewa kila kukicha????... mim sioni kama ni janga hili
 
πŸ˜›eep:AGE IS AN ISSUE OF MIND OVER MATTER IF YOU DONT MIND IT DOESNT MATTER- mark Twain.
live your lives people dont stress yourself about age, calender ilipangwa na binadam kama nyie, the only thing to stress about is not to act like a child when you have beads and breasts.
ndukiiii... simo.πŸ˜›lane:πŸ˜›lane:
 
Yaani mtu aniulize utaoa lini au utaolewa lini???

Jibu nitakalompa ataninunia mwaka mzima

Maisha yako ya chupini hayamuhusu mtu......waambie wahangaike na ya kwao

hahha umeona eeeh yani nashangaaga sana pia mtu akiuliza hilo swali, as if kuna mwanaume or mwanamke specific amekuwekea ukafunge nae ndoa.
 
hahha umeona eeeh yani nashangaaga sana pia mtu akiuliza hilo swali, as if kuna mwanaume or mwanamke specific amekuwekea ukafunge nae ndoa.

Tanzania is among Top 10 listed of poor IQ population.
 

Hili nalo neno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…