shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,339
Yaani mtu aniulize utaoa lini au utaolewa lini???
Jibu nitakalompa ataninunia mwaka mzima
Maisha yako ya chupini hayamuhusu mtu......waambie wahangaike na ya kwao
heshima kwenu wote.
kama mnavyojua wengi wetu waafrica unapofika miaka 30 wewe ushafika fainal ya ujanja ujanja. hapo ndio watu wanaanza kukutegemea rasmi kimawazo, kikipato etc etc.
katika hii age ndoa nazo zinakupigia kelele sio kwa wanaume wala wanawake ukifika hii age ni kelele tu unaoa lini/ unaolewa lini.
tunazikabili vipi hii age na kama mnavyojua maisha yanazidi changamoto, ajira vipato magumashi,kukutana na miss right/ mr right nayo changamoto kwa wengi. plus mambo kibao.
ni vizuri tujadiliane hii ishu na ikiwezekana wekend tutafute hata sehem vijana wote humu tukutane for drinks na story za hapa na pale tuongee hii ishu..( huku tukiomba Mtambuzi au gfsonwin awepo) mimi nitagaramia uchakavu wangu tu na wa mtu mzima mmoja. wengine kila mtu afanya uchakavu wake na tupate ushauri na story za hapa na pale kuhusu maisha yanapoelekea.
maana hii age inakaribia na mambo kama hayaendi vile.

utaolewa lini?