Harakati ni nyingi sana au unashare simu π π πNpo kaka
Hao haki yao ila me yangu nimekupa wewe kusogeza siku tu
Nashare simuππHarakati ni nyingi sana au unashare simu π π π
Kuna mwamba amepita hapa anauza samsung elf ishirin na Saba nikuletee πNashare simuππ
Nichukulie tu hata hyo hyo ndugu yangu πKuna mwamba amepita hapa anauza samsung elf ishirin na Saba nikuletee π
Nakufosia tukutane baaday uwanja wa fisiNichukulie tu hata hyo hyo ndugu yangu π
Poa poa ngoja nimrudishie huyu jamaa kisimu chake cha ajabu πNakufosia tukutane baaday uwanja wa fisi
Usimtukane mamba kabla hujavuka mto πPoa poa ngoja nimrudishie huyu jamaa kisimu chake cha ajabu π
Asante kipenzi
Am good ni vile tuu life kinatufundisha mkuu ahahahaha si tulikimbia shule acha tushonwe na life πππππ«΅π«΅π«΅Ila bro umeadimika sana. You good?
Daah .... Nimependa sana sana sana sana response yako.Samahani,,,
Nadhani ilikuwa new year!!!! Kweli nitamani kukualika lakini unge boreka mnoo maana tullikuwa watu tunaofahamiana sana........
Usijali nitalipa deni.
Hahahaa kweli aiseeemin me na leo dada wanasoma kila kitu
wanaziba pengo la raraa reree
Asante, Amina kwako piaDaah .... Nimependa sana sana sana sana response yako.
Mungu akubariki mwaka huu 2026 uwe mwaka bora na wenye fanaka sana kwako..