Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 3,505
- 6,856
Umeshindikana wewe😅Hahaha Mimi wa nini Sasa hapo bwashee? Labda mlevi Bora jf nabeba mchana kweupe
Leo nimetoka nipo viwanja nafukia pombe hapaUmeshindikana wewe😅
Nitumie location ukizima nikupeleke home😂Leo nimetoka nipo viwanja nafukia pombe hapa
Kwa sababu wewe ni mshamba hatukuchekimin me na leo dada wanasoma kila kitu
wanaziba pengo la raraa reree
Mhm mbona Kama nimepiga ? Au nishaanza kulewa niniSasa mbona hujanipigia wewe chaulevi🤣
Cast kule juu atleast tuwe wawili banaa😅😄Mhm mbona Kama nimepiga ? Au nishaanza kulewa nini
leo dada nakumbuka kuna siku niliandika uzi wa ""yoyote mwenye mwaliko wa Xmas"" ulikua uzi wa xmass ya mwaka jana
Kwenye comment alinambia nikaribie.
Si nikasema ngoja niende PM bana weeeee bana weeee wakuuu wakuuu wakuuu wakuuu wakuuuu
Wakuuu
Haya
naunga mkono hoja wapo vizuri sana!.min me na leo dada wanasoma kila kitu
wanaziba pengo la raraa reree