Duh,risk taker... HongeraMiez 3 yote hyo? Mim maama toto yangu tumejuana ndan ya mwez nkatangaza ndoa na mpaka sasa tunaendelea,,,,,
Kama ni michache vile!Uwe kijana au mzee linapokuja suala la mapenzi ni suala lisilo kwepeka hata hivyo kuwa mwangalifu ndicho kitu cha msingi kuliko kitu chochote na ili kumfahamu mtu unahitaji kitu kinaitwa MUDA.
Miezi mitatu ni magic number ya kumfahamu mtu research na study nyingi zinakiri.
Unahitaji kusubiri hadi mwezi wa tatu kwa mtu kuanza kuonesha namna au jinsi alivyo kihalisi (deep seated patterns) sahihi za mtu unayetaka kuwa na mahusiano naye huanza kuonekana.
Hii ina maana kwamba upya wake au ule umaalumu wake kwako huanza kuchakaa na unaanza kumuona mtu wa kawaida.
Vichekesho vyake utaanza kuvizoea, tabia zake alizokuwa anaficha zitaanza kuonekana wazi.
Hii ina maana kwamba kuoana na mtu ndani ya miezi 3 ni risk kubwa mno labda Mungu awe ameongea na wewe uso kwa uso kama Musa.
kwahiyo jamaa kila siku atakuwa anaishusha, then usipomuelewa unamuacha90 ama 92
sidhani kama kuna fomula katika hilo rubii,kuna watu wanaweza jificha hata kwa miaka mitatu ndipo akaanza kuonyesha uhalisia wakeUwe kijana au mzee linapokuja suala la mapenzi ni suala lisilo kwepeka hata hivyo kuwa mwangalifu ndicho kitu cha msingi kuliko kitu chochote na ili kumfahamu mtu unahitaji kitu kinaitwa muda.
Miezi mitatu ni magic number ya kumfahamu mtu research na study nyingi zinakiri.Unahitaji kusubiri hadi mwezi wa tatu kwa mtu kuanza kuonesha namna au jinsi alivyo kihalisi (deep seated patterns) sahihi za mtu unayetaka kuwa na mahusiano naye huanza kuonekana.
Hii ina maana kwamba upya wake au ule umaalumu wake kwako huanza kuchakaa na unaanza kumuona mtu wa kawaida.Vichekesho vyake utaanza kuvizoea, tabia zake alizokuwa anaficha zitaanza kuonekana wazi.
Hii ina maana kwamba kuoana na mtu ndani ya miezi 3 ni risk kubwa mno labda Mungu awe ameongea na wewe uso kwa uso kama Musa.