Jagu naye alikuwa wronged number.Nakuunga mkono mkuu,PK ni moja kati ya movie za kihindi zilizotulia sana kimaudhui.
Na "Mr PERFECTION" kama kawaida yake huwa hakosei.
Swali la kizushi mkuu....
Vipi unamuonaje yule mtoto wa kike mule ndani akiitwa "Anushka Sharma" a.k.a JAGAT!!?.
TafutaAnayezijua muvi kali za kihindi kama hizi atuambie..ili tuzidownload
Tafuta
1. We are the family. Bonge la movie utalia kama sio machozi kukulenga.
2. Anjaana Anjaani.
3. Pyaar Imposible.
4.Fashion.
Hizi ya pili mpaka ya nne kuna huyu mrembo "Priyanka Chopra" kachagiza nizipende zaidi
Na zote zina nyimbo kali nyimbo za kwenye We are the family ni the best.

PoleSiangaliagi movie za wahindi.
Me naikumbuka definition ya BookπππHivi mnakumbuka definition yq machine aliyoitoa amir khanπππππ
*Ghajini (Aamir Khan)
*blackmail(2018)
*murder 3
*Ek tha tiger
*We are family (2018)
*Fanaa
*Baahubal
*Lion (2016)
*Bajrangi bhaijan