3 certificates + 1 diploma = master's degree

vick alianza darasa la kwa kwanza na miaka mitano. kazaliwa 1978 kaanza darasa la kwanza 1983 is it true?

Mkuu nina mtoto wangu amezaliwa 2005, na 2011 alianza la kwanza kabla hata ya kutimiza 5 years so usishangae ktk hili
 
vita yako na slaa tunajua imekaa kidini zaidi kuliko unachokiongelea hapa! Mkuu mbona una kazi aisee! Utaondoka duniani hizi dini zitaendelea kuwepo

acha assumptionS ... Hizo i will talk about who ever i want! Nimegusia slaa sababu cv yake ilidondoshwa humu jf!
 
Sijaona kosa lake,ila nahisi kuna makosa katika rekodi za elimu yake katika tovuti ya bunge.
Kwa sababu nimeona amefanya research,ukitazama katika upande wa publications. Na research ninachofahamu kwa vyuo vingi Tz ufanywa na wanafunzi waliopo Advance diploma au degree na kuendelea. Sasa kuna hiyo publication ya Research inayoonyesha alifanya Saut. Kwa akili yangu sidhani kama alifanya akiwa katika level ya Certificate

Kwanini unasukumia makosa yote kwenye ofisi ya Bunge? Usiniambie hata zile digrii alizozikosoa Msemakweli na zenyewe ni makosa ya uandishi ya Ofisi ya Bunge aisee! Hebu iamshe akili yako ndugu, kwa wanasiasa chochote kinawezekana aisee!
 
Sasa alipataje huo uofisa BOT kama sifa aliyokuwanayo ni Certificate ya Journalism? Certificate in Journalism inakupa uofisa daraja la iii Benki kuu?
 
uk kuna universities ambazo kama una diploma na hizo certificates ambazo anazo na work experience wakaridhika nayo then unaweza kufanya post graduate studies i.e masters. Top universities watakataa bt universities hizi za mtaani wanakubali so inawezekana sana hiyo masters yake ikawa ya kweli
 
Sijaona kosa lake,ila nahisi kuna makosa katika rekodi za elimu yake katika tovuti ya bunge.
Kwa sababu nimeona amefanya research,ukitazama katika upande wa publications. Na research ninachofahamu kwa vyuo vingi Tz ufanywa na wanafunzi waliopo Advance diploma au degree na kuendelea. Sasa kuna hiyo publication ya Research inayoonyesha alifanya Saut. Kwa akili yangu sidhani kama alifanya akiwa katika level ya Certificate

Hii ni mojawapo ya publication zake
V. Kamata: The Impact of Microfinance Scheme in Boasting Women Income - A Case Study of Pride Tanzania, SAUT, Mwanza
 
hivi hawa waheshimiwa hizi taarifa zao za elimu ziko sawa kweli?, kuna sababu ya TCU kuanza kua na MENO na KUCHA kufanya kazi yake, kama viongozi elimu zao ni za kubambia kweli taifa litaelekea wapi kushindana na wasomi wa nchi zingine kama majirani zetu wa africa mashariki.
nimeshangazwa na mtiririko wa elimu wa mheshimiwa vick kutoka certificate mpaka master's degree!
Aaah, Mh. Kamata bana we mkaliii,
gonga hapa

uliza alipataje ubunge. Kisa anatiw* na mkulu na kamzalia mtoto. Gusa unate
 
Huyu mama alikua SAUT mwanza. Kwenye uchaguzi wa rais 2005 alitoa kibao cha WANAWAKE NA MAENDELEO na kua mtumbuizaji wa kampeni za JK na hivyo hakufanya pepa wala asignments nyingi chuoni. Aliporudi akawa KADISCO, Jk akamlipa fadhila kwa kumtafutia shavu BoT na baadae kumsomesha Uingereza. Sasa sijapata mchanganuo wa Diploma hadi Master's degree ukoje hapo. Ila ukweli ndo huo........

Jk tena... kama Nancy Nkui vile hahahahahahaaaaaaaaaaaaa. Mwili pia biashara! Hii ndio BONGO.
Rais feki waliomchagua kwa mbwembwe na tabiri kibao pia feki!

heeee, kweli usilolijua ni sawa na usiku wa kiza kinene!.
 
Mkuu nina mtoto wangu amezaliwa 2005, na 2011 alianza la kwanza kabla hata ya kutimiza 5 years so usishangae ktk hili

Mkuu ndyoko!

Mtoto wako kazaliwa miaka hii ya dot com na digitally;Zamani kwenye miaka ya 80 ilikuwa HAIWEZEKANI mtoto wa miaka 4 aanze darasa la kwanza kwani kitu cha kwanza ilikuwa test ya"kushika sikio" na mtoto wa miaka 4 asingefaulu test hiyo!

Without any reasonable doubt;Mbunge huyu kadanganya elimu yake ya msingi!
 
Sijaona kosa lake,ila nahisi kuna makosa katika rekodi za elimu yake katika tovuti ya bunge.
Kwa sababu nimeona amefanya research,ukitazama katika upande wa publications. Na research ninachofahamu kwa vyuo vingi Tz ufanywa na wanafunzi waliopo Advance diploma au degree na kuendelea. Sasa kuna hiyo publication ya Research inayoonyesha alifanya Saut. Kwa akili yangu sidhani kama alifanya akiwa katika level ya Certificate
Kwa SAUT watu wa Certificate wanafanya aina ya research lakini huwezi kusema ni 'publication, maana wewe hauko LICENCED TO TEACH. Kwa aina yake ya elimu hawezi kuwa amefanya masters maana Diploma aliyo nayo ni ya CHUO KINACHOSAJILIWA NA NACTE aina ya VETA na kwa vile kwa TZ hakumaliza F.VI basi asingeweza kusoma Advanced Diploma bila ya kuwa na Form VI hivyo ana Diploma ya kawaida na kwa diploma ya kawaida huwezi kusajiliwa kwa Masters bali utasajiliwa kwa Degree ya kwanza. Source Website TCU
 
Vick alsioma sauti na ndugu yangu pale alipata sup za kutosha nakumbuka wakati wamemaliza chuo alibaki chuo kufanya sup ila alifanikiwa kuzitoa zote baadae tukasikia yupo dar kikazi ila katika hiyo cv yake kitu ambacho nina uhakika nacho kuwa hajasoma ni hiyo master degree ya southampon solent ni kweli alikuja hapa uk kusoma katika hicho chuo ila alikamatwa masomo mawili alitakiwa ayarudie alishindwa kwa sababu alikuwa anawahi kwenye uchanguzi wa wabunge wa kuteuliwa kule geita alirudi na akashinda ubunge wa kuteuliwa na vile vile akakosa nafasi ya kuja kurudia hayo masomo mpka leo so hiyo mba si ya kweli bado hajamaliza. Alitakiwa aje toka mwezi wa kwanza kutokana na taarifa zake ila makujumu ya kisiasa yamembana so sijui atakuja lini huo ndio ukweli ninaojua

huyu mama alikua saut mwanza. Kwenye uchaguzi wa rais 2005 alitoa kibao cha wanawake na maendeleo na kua mtumbuizaji wa kampeni za jk na hivyo hakufanya pepa wala asignments nyingi chuoni. Aliporudi akawa kadisco, jk akamlipa fadhila kwa kumtafutia shavu bot na baadae kumsomesha uingereza. Sasa sijapata mchanganuo wa diploma hadi master's degree ukoje hapo. Ila ukweli ndo huo........

Jk tena... Kama nancy nkui vile hahahahahahaaaaaaaaaaaaa. Mwili pia biashara! Hii ndio bongo.
Rais feki waliomchagua kwa mbwembwe na tabiri kibao pia feki!
 
Mkuu ndyoko!

Mtoto wako kazaliwa miaka hii ya dot com na digitally;Zamani kwenye miaka ya 80 ilikuwa HAIWEZEKANI mtoto wa miaka 4 aanze darasa la kwanza kwani kitu cha kwanza ilikuwa test ya"kushika sikio" na mtoto wa miaka 4 asingefaulu test hiyo!

Without any reasonable doubt;Mbunge huyu kadanganya elimu yake ya msingi!

Nimekuelewa kamanda. Aisee umenikumbusha kipindi kile ada sh 20, babake kuna ile noti ilikuwaga na jini upande wa kushoto. Mi nadhani huu u-freemason ulianza zamani sana aisee
 
Kwa SAUT watu wa Certificate wanafanya aina ya research lakini huwezi kusema ni 'publication, maana wewe hauko LICENCED TO TEACH. Kwa aina yake ya elimu hawezi kuwa amefanya masters maana Diploma aliyo nayo ni ya CHUO KINACHOSAJILIWA NA NACTE aina ya VETA na kwa vile kwa TZ hakumaliza F.VI basi asingeweza kusoma Advanced Diploma bila ya kuwa na Form VI hivyo ana Diploma ya kawaida na kwa diploma ya kawaida huwezi kusajiliwa kwa Masters bali utasajiliwa kwa Degree ya kwanza. Source Website TCU

Mkuu kuna baadhi ya mambo umeongea yana ukweli ila kwa kutumia jicho langu moja tu nilipopitia uzi wako huu, unaonekana bado mfumo wa elimu wa nchi hii hujaujua kabisa aisee, ni aibu kwa raia wa nchi kama wewe ku-fumble kiasi hiki, mweeee!

Humo kwenye red humo, ndo umekwenda chaka mbayaaaaaaa! Hao TCU uliowa-quote isije ikawa ni kutoka kwenye direct entry to university studies!
 
bana haya mambo ya wanasias wetu ni utata mtupu kozi nyinine zinasomwa kwenye vyuo vya st kayumba za huko ulaya tena online basi mtu anapewa award.
 
Watakuwa wamekosea nijuavvyo Vicky amezaliwa 1977 na mjomba wake ni askofu flani wa kanisa Katoliki na mama yake alikuwa anafanya BOT Mza cjui kama bado yupo.Kabla hajaenda kusoma Mba alikuwa anaishi msimbazi na yule Dc Antony MTAKA aliepata favour ya ritz alikuwa anajikomba sana kwake ,na katika viongozi wa umma waliotakiwa kuelezea utajiri wao na Tume ya maadili mwaka uliopita VICKY alikuwa mjawapo.I heard na mkuu wa mkoa wa mza ni mjomba wake cjui kama kweli.na hiyo story ya mtoto ni ya kweli ye mwenyewe alikuwa anatangaza.
 
Back
Top Bottom