2G into 3G

2G into 3G

Jachi James

Member
Joined
Mar 31, 2013
Posts
30
Reaction score
1
Naombeni kufahamu juu ya ili kuna simu inauwezo wa 2g je kuna uwezokano wa kuibadirisha iwe kwenye 3g na kama kunauwezakano naomba msaada jinsi ya kufanya hvyo.
 
Mmmh sina uhakika kama hiyo kitu inawezekana labda tuwasubir wataalam wengine
 
Uwezo wa 3G unategemea hardware(radio) na software ya simu. So kama simu ina hardware ya 2G tu hauwezi kuipa 3G. Kama ni setting tu somewhere kwenye simu imewekwa 2G basi inawezekana. Ni simu ipi?
 
je gari ya kubeba tani 1 inaweza kubeba tani 6?? hapana..ila kama ni gari ilikuwa na uwezo wa kubeba tani 6 afu watu wakaweka bodi ya tani 1 basi inawezekana...unabadilisha body tu ya tani 1 unaweka ya tani 6..then unabeba...simple!

so hiyo yako ni simu aina gani..??
 
je gari ya kubeba tani 1 inaweza kubeba tani 6?? hapana..ila kama ni gari ilikuwa na uwezo wa kubeba tani 6 afu watu wakaweka bodi ya tani 1 basi inawezekana...unabadilisha body tu ya tani 1 unaweka ya tani 6..then unabeba...simple! so hiyo yako ni simu aina gani..??
.
thumb up, thumb up
 
je gari ya kubeba tani 1 inaweza kubeba tani 6?? hapana..ila kama ni gari ilikuwa na uwezo wa kubeba tani 6 afu watu wakaweka bodi ya tani 1 basi inawezekana...unabadilisha body tu ya tani 1 unaweka ya tani 6..then unabeba...simple!

so hiyo yako ni simu aina gani..??

nimekuelewa poa cmu yangu n tecno d 5
 
Uwezo wa 3G unategemea hardware(radio) na software ya simu. So kama simu ina hardware ya 2G tu hauwezi kuipa 3G. Kama ni setting tu somewhere kwenye simu imewekwa 2G basi inawezekana. Ni simu ipi?

Asante kwa maelezo mazur so hata ukiwa software za kuconvert 2g to 3g hazisaidii chochote?
 
Back
Top Bottom