29 october

29 october

alma gemela

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
842
Reaction score
280
Wa salamu mmu

Jamani naombeni kujua tabia za watu waliozaliwa tar hiyo

Asanteni

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
wanagawa uroda sanaaaaaa.......................!:tape:
 
Sie ni watu wakali sana na hatupendi mchezo pia tunajari sana ila hatupendi kuwa na marafiki wengi, wepesi wa kuvunja mahusiano ukiona mambo haya endi

using JamiiForums
 
Mmh, Kuna lake jambo

Mbona mnanitisha jamani
 
Wa salamu mmu

Jamani naombeni kujua tabia za watu waliozaliwa tar hiyo

Asanteni

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Wewe! Hivi haujui mambo ya kufatilia nyota (astrology) ni dhambi?
Kama ni wewe mwenyewe umezaliwa tarehe iyo, tabia zako unazijua mwenyewe, then kama ni mtu mwengine unamuulizia ili ujue undani wake kupitia hiyo tarehe, unakosea sana, kwa sababu kila binadamu mmoja anatofautiana na mwengine regardless hizo date za kuzaliwa, kwa mfano tafuta watoto mapacha waliozaliwa tarehe/siku moja then determine their habits. May be hauna dini, ikiwa hivyo nakutahadharisha usigeneralize hizo sifa utakazopewa.
 
^^
MziziMkavu
Njoo umsaidie huyu ndugu,pengine aweza kuwa na shida ya msingi ktk mapito yake.
^^
 
Last edited by a moderator:
cfa walizotaja hapo ni sawasawa kasoro kupenda kabaang,nimezaa nae wa tar hiyo ni balaa huyo
 
Back
Top Bottom