kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,033
- 2,124
- Thread starter
- #21
Kama sita najilipua kisha napata Ushuhuda natafakari siku ilikuwaje, wapi nakosea wapi nirekebishe.
Kisha nafurahi na TBC International ili kujipiga msasa na ngeri... Mara paaaaap chikwiri naamka napiga Sala kisha najipanga kutoka kuona baraka za Mungu kabla ya Jua halijatoka nasaka Mchuziii wa Familia hapo ni Pesa mbele kama tai na Matako ya sufulia hayaogopi Moto.
Sent using Jamii Forums mobile app