28 February 2015 harusi yangu

28 February 2015 harusi yangu

Hongera tunaruhusiwa kuja bila kadi???? Vip ulabu utakuepo
 
hongera baba MUNGU awape hekma na uvumilivu ktk maisha yenu ya kindoa
 
Hapana uko eneo la soko Matola japo mimi siyo mwenyeji sana Mbeya

Nasikia Mbeya kuna ukumbi mmoja tu wa harusi na sherehe nyingine, hivyo sherehe ni kuanzia Jumatatu hadi Jumatatu,
 
Last edited by a moderator:
Duhh...kwa hiyo wanachama tunapungua tuu...tunasikitika kukupoteza mwanachama mwenzetu wa chama cha ukapera....Tunakutakia kila LA kheri katika hilo chama LA stress unalohamia...

All the best...

Kumbe uko single!! Aisee. Uko pande gani hapa Tanzania?
 
Nasikia Mbeya kuna ukumbi mmoja tu wa harusi na sherehe nyingine, hivyo sherehe ni kuanzia Jumatatu hadi Jumatatu,

Kumbi zipo nyingi. il à Mkapa un à hadhi yake......
Ndio maana wengi hukimbilia pâle. Tunamshukuru Mungu kuna mwingine unajengwa wenye hadhi kama Mkapa,na ni mkubwa zaidi
 
Huo ukumbi wa Mkapa una hadhi ganj kwa mtu ambae hajawahi uona km mm, hebu uelezee kidogo mkuu.
 
Ulabu upo.Kadi ni elfu 50

Uwiii una bahati sipo mkuu na ninavyopenda selfie za pale Hill view daaaa nimeikosa hiyo vip maids wamekamilika au amekosekana mdada mmoja Kijallo
 
Last edited by a moderator:
Uwiii una bahati sipo mkuu na ninavyopenda selfie za pale Hill view daaaa nimeikosa hiyo vip maids wamekamilika au amekosekana mdada mmoja Kijallo

Njoo bibie. Nafasi ipo
 
Last edited by a moderator:
Uwiii una bahati sipo mkuu na ninavyopenda selfie za pale Hill view daaaa nimeikosa hiyo vip maids wamekamilika au amekosekana mdada mmoja Kijallo

Hahah,bibie unapenda vishughuli njoo basi ya kwangu April
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom