Samahani mkuu wewe ni me au ke,
is it over????????????????????
Yakwako soon.....
nishachoka uongo wako
Kweli naomba uniamini ila tufanye rehearsal ktk mkesha wa mwaka mpya.
hongera sana
eish unanidanganya sana wewe naanza kukupotezea now
Asante sana
Leo mwisho sikudanganyi tena
aiiii nishachoka mie sioni mwangaza kila siku kiza ntakutafta leo holaaa sjui sasa hivi holaa sjui kesho isharushwa had mkesha wa mwaka mpya hueleweki kama sigara nyota nashindwa kukudefine nambie moja bana
Usimwage kuku wengi kwenye mchele basi nakuja pm.