27 yrs sina hata demu

27 yrs sina hata demu

Kweli umri wa miaka 27 unashindwa kuandika post vizuri tukakuelewa? au ndio nyege zimehamia kichwani?
Atawezaje kuandika post ikiwa kutongoza tu kwake ni ngumu?
 
kajuaje kama mzigo anauweza wakati hana demu au ndo kweli anatumia sabuni

kwa jinsi nilivyomuelewa mm ni kwamba anae/anao wanawake ila sio wa maana kuweza kuwatambulisha hata kwa watu. na yy yupo kimywa sana atusaidie basi majibu tumalize utata
 
Atawezaje kuandika post ikiwa kutongoza tu kwake ni ngumu?

hahaha anatupa kazi nyingine ya kuanza kubuni atakua ameandika kitu gani! mimi hapana sijamwelewa kabisa
 
Kuzinzika?

1. Mwanamke/wanawake anao ila hana anayeweza kusimama mbele za watu na kumtambulisha kuwa ni mtu na mtu wake.
2. Mzigo anabeba fresh tu. (Na ndo sifa yake kubwa inayomfanya aendelee kutembeza bakora kama vile katumwa na kalumanzira . . . this means hata akili yake ni papucci tu na kubeba mzigo hata ajione rijali)
3. Hafikirii kuwa na mtu permanent ila anawaza mwanamke tu wa kumtambulisha mbele za watu ili abadilishe cv yake na aonekane mwenye status nyingine. (probably hako karembo ndo awe anatumia kusafisha jina)

Hahah Mr. Eli ujana maji ya moto.
Si kila mkondo unafaa kufuatwa. Ona sasa kijana mwenzio anajisahau kiasi kwamba utetezi wake mkubwa ni speed yake ya kubeba mzigo. HASARA KABISA!!!

Or else . . . anyooshe maelezo.
 
Ave, you said it all....
Hiki ndo kizazi chenu cha .COM, bora sisi umri kidogo umeenda...

Huo mzigo anaosema anabeba fresh, nani kampa hizo credits kwamba anaubeba fresh! anaweza sema kaubeba fresh kumbe mwenzio anaona majanga tu..
 
HAHAHAA . . . hivi kizazi cha dot com ndo kinaanzia age zipi eti??
Alafu hujui kuwa mtu anaweza kuwa umri umesonga ila maisha yake ni full udot.com
 
Kama ndio uwezo wako wa kujieleza huo.... Utangoja sana
 
HAHAHAA . . . hivi kizazi cha dot com ndo kinaanzia age zipi eti??
Alafu hujui kuwa mtu anaweza kuwa umri umesonga ila maisha yake ni full udot.com

Nadhani dotcom inaanzia walozaliwa 1985>. Asa jiangalie Ave!
Wapo umri uliosonga na wanaishi maisha ya udotcom ila nadhani wanapata shida sana....
 
Wewe unataka mke au demu? Lakini nahisi kama ni mtu unataka kuwa kwenye mahusiano k
wa sababu tu unawaona watu wanafanya hivyo!
 
Back
Top Bottom