mie ni mkubwa kwako i mean ile kitu imeshakuwa used,je nitakufaa? km nakufaa ni pm l:faint2::faint2::faint2::tinfoil3::tinfoil3:
Pacha!!!!nmeshindwa kumuelewa......sijui mzigo una maana gani???jaman mliomuelewa tunaomba msaada tusije tukakosa mambo mazur!!!!
Maelezo yanakanganya
Wadau mnisaidie kimawazo mwenzenu maana hadi sasa na li umri linakwisha sina mwanamke atakayeweza kusimama mbele za watu na kujitambulisha yy kuwa na mimi ni mtu wake maana kama mzigo nabeba flesh tu ila sijajua tatizo hli chanzo ninini
Anajuaje anaweza wakati hana demu????anafanya na nani???
Aisee!!! hii kazi kuliko hata kwenda kazini.