Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Endelea tu kuzinzika!!
mzigo anauweza anamaanisha mambo six by six anayaweza fresh
Wadau mnisaidie kimawazo mwenzenu maana hadi sasa na li umri linakwisha sina mwanamke atakayeweza kusimama mbele za watu na kujitambulisha yy kuwa na mimi ni mtu wake maana kama mzigo nabeba flesh tu ila sijajua tatizo hli chanzo ninini
Endelea tu kuzinzika!!
mzigo anauweza anamaanisha mambo six by six anayaweza fresh
Kwa nini usiwe kama yesu!
Endelea tu kuzinzika!!
Anajuaje anaweza wakati hana demu????anafanya na nani???
At 27 bila KE manake anajipa raha mwenyewe, kwa hiyo mzigo anauweza!.. teh
Mkuu, nyumba ya Ibada watu hawatongozani bhana
Anajuaje anaweza wakati hana demu????anafanya na nani???
Mikono hana? Nivea
Kama anayo si ajipimie size yake sasa anatala nn tena????wengine mademu....wengine sabuni!!!!
Ndio mhurumieni mwenzenu. Mpeni mambo