27% kati ya watanzania wote waliojiandikisha piga kura walipiga, kikwete 61% x 27% | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

27% kati ya watanzania wote waliojiandikisha piga kura walipiga, kikwete 61% x 27%

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Benno, Nov 5, 2010.

 1. B

  Benno JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  "Ni jambo la kutojivunia kuchaguliwa na watu wachache ambao ni asilimia 27% ya Watanzania wote waliojiandikisha kupiga Kura" Huyu ni Raisi wa kwanza Tanzania kuchaguliwa na watu wachache" Lipumba akiongea mbele ya Kikwete

  Haya Inakuwaje Hii


  Haki iko wapi?
   
Loading...