Hizo nafasi zinazofanyiwa interview sasa,zinakwenda sambamba na vimemo na maelekezo kutoka kwa vigogo na watu wa makabila fulani,wahaya,wachaga,wanyakyusa,angalieni vizuri hayo majina ndugu zangu,kuna majina ya watoto wa watu wazito hapo,Take care
kweli mkuu! kama leo hr yamepita majina ya kinyakyusa na kichaga tuuuu, pamoja personal secretary yale yale! na wanahitaji mtu moja moja tu! tena huenda hata kwenye intrview hayupo....! jana ndo noma juu ya noma