+255 411.... Ni namba Kupitia Mtandao Gani

+255 411.... Ni namba Kupitia Mtandao Gani

90174e63f0bf08a59d3d031beee77f63.jpg
 
Wana JF kuna namba inayoanzia +255 411....... imebeep kwenye simu yangu, Je ni mtandao gani hapa Tanzania?

hao ni mula ni kampuni ya kutoa huduma kama za m-pesa na ina huduma za ziada kuzidi m-pesa menu yao ni *150*78#

pia kuna kampuni nyingine inaitwa Fairates Store
menu yao ni *150*67#

ila iyo namba niya mula
 
Back
Top Bottom