+255 411.... Ni namba Kupitia Mtandao Gani

+255 411.... Ni namba Kupitia Mtandao Gani

Donkey

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
1,499
Reaction score
1,585
Wana JF kuna namba inayoanzia +255 411....... imebeep kwenye simu yangu, Je ni mtandao gani hapa Tanzania?
 
What'sup confirmer hao Mkuu yawezekana ulikuw kuregist whatsup instead ya kuomba upate confirmation code via sms ww uka require call me....ko ungepokea wangekutajia confirmation code yako ya whatsup afu wakate
 
Hapana sijafanya shughuli yeyote kwa whtsapp settings au register
 
Matapeli hao. Hiyo namba ipo kwenye Roming kuwa makini sana na maelezo watakayokupa
 
Nashukuru Kwa ushauri.lakini namba ikiwa kwenye roaming inachange Country code?
 
Back
Top Bottom