25 Oct umejipanga vipi?

25 Oct umejipanga vipi?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,267
Reaction score
25,557
Naoma mzigo mpya kabisa unafanya mazoezi...!
 

Attachments

  • 1445180821440.jpg
    1445180821440.jpg
    18.1 KB · Views: 451
Last edited by a moderator:
Kaka uliza gharama za huo mdude halafu na matumizi yanayokusudiwa....!!! Baada ya wiki ijayo Tanzania hii tuliyo nayo leo yaweza kuwa kitu kingine kabisa
Kweli comrade tena budget yake unaweza kukuta jamaa wali_plan kununua majidude hayo ili mradi na wao wapige deal za mwisho mwishoni.
 
Wiki ya mabadiliko hii, Tutapiga kura, na tutazilinda!

Huku Arusha shamrashamra za kusheherekea ushindi zimeashaanza!
 
Msimliambiwa na SUGU " Mnanunua silaha mnapigana na nani ; na wananchi wasiokuwa na silaha?" CCM ndio wanataka kuigeuza nchi yetu kuwa BUKINABE kwani wananchi safari hii wameamua kama MBWAI NA IWE MBWAI!!
 
Bulesi
We unadhani dunia yote kukusanya waangalizi hapa na mahakama ya ICC pia kuwepo hapa mapeeema pamoja na kuona wakiwa huko kwao (serikali kuagiza majidude kama hayo kwa uchaguzi hui) unadhani hawajui ni nini kinaenda kutokea?
MUSSA ALLAN
Wapi hizo sherehe zimeanza maana natokea moshi kuelekea A town, nataka nishuhudie na mimi.
 
Last edited by a moderator:
Bila ya hayo kura inawezekana jamani.
Piga kura subiri kuapisha
 
hayo madude wanataka wapambane na nani?

Naona wanataka waue mende kwa nyundo
 
Back
Top Bottom