24 series na prison break ipi kali?

Prison break ndo ilinifanya nipend sana series za kizungu za kikorea sizipend kabisa japokua 24 naionag juu juu ila moto wa michael ni balaaa ntaitafta hyo 24
 
Inaanza 24 kulingana na wewe ila kwa Mimi prison break bado cjapata series ya kuirithi hata niangalie kila siku siichoki.
 
Huwezi kulinganisha 24 na prison break wakati zina genre tofauti.. 24 ni action wakati prison break ni drama (story).. Ila zote ni kali kwa upande wake.. Na ndo my best series ever ikifuatiwa na Lost..
 
Ila kilichoandikwa umekielewa,but unajifanya akili zimeruka tu
 
Tenga muda angalia kwa makini sana kitu kinaitwa The Vikings ni balaa humo mzee wa kazi king's Ragnar na mzee wa kafala Frock y
 
Achana na 24 aisee natamani muendelezo wake Russia ilikuaje
Sidhani kama iliendelea baada ya season 10.

Ila Bauer kaigiza series nyingine kama Rais wa Marekani, nimeona wanaitangaza juzi kati.

Inaonekana tamu sana, ngoja nikumbuke jina lake niilete hapa.
 
Priaon break now nadhani naiangalia kwa mara ya kumi,ni noma hiyo series..24 haiingii ndani
Mm mwenyewe ninaiangalia kupitia app ya showbox muda huu ...season 3 episode 7 ni nouma
 
Prison break kali season 1,2 n 3 labda.. Baada ya hapo ikapoteza muelekeo maana dhumuni lilishatimia (kumtorosha kaka jera), ila 24 moto ni ule ule mwanzo mwisho magaidi wanabadilika tu
 
24hrs ndio kitu balaaa......kinadimbana hatari
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] .... kwenye prison break t-bag ni kama chumvi kwenye mboga.....[emoji1] [emoji1] ....
dah t bag yupo mjengoni tena yani itakuwa ni hatari juu ya hatari yani
Prison break kali season 1,2 n 3 labda.. Baada ya hapo ikapoteza muelekeo maana dhumuni lilishatimia (kumtorosha kaka jera), ila 24 moto ni ule ule mwanzo mwisho magaidi wanabadilika tu
season 2 na 3 ilikuwa siyo kumtorosha tena kaka jera Bali mikiki mikiki ya kukimbizana na FBI pamoja na scorfild kurudi gerezani tena(sona)
Ila kilichoandikwa umekielewa,but unajifanya akili zimeruka tu
katika hali ya kuchangamsha jukwaa tu na kukulekebisha nasio kwamba nilikuwa sijakuelewa
 
Pamoja sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…