24 hours -live another day

24 hours -live another day

kamanda5ch

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
210
Reaction score
286
i cant wait hii kitu asee Jack is back ,.chloe is back ,..

tetesi Tony Almeida ndani ..si mchezo
 

Attachments

  • 24_-_Live_Another_Day_-_Logo.png
    24_-_Live_Another_Day_-_Logo.png
    6.2 KB · Views: 243
inatoka lini hii makitu mie nidundulize visumni
 
kwa kiu ya hali ya juu, naisubiria
 
Ni ipi hiyo? Manake kama ile ya Tony Almeida kurejea "from the dead" tayari ishatoka long time...au kuna nyingine tena? Ninayoizungumzia ni ile ambayo inaonesha kwamba TCU imekuwa dissolved. Kashikashi linapotokea, jukumu linaachwa kwa FBI ambayo kutokana na maji kuzidi unga, ikabidi FBI Agent amtafute Jack aliyekuwa amewekwa kitimoto na Senate! Baada ya kashikash za hapa na pale, Jack anagundua kuna bonge la plot inayofanywa na Tony kiasi cha Jack kutoamoni coz' anaamini Tony amekufa.....! Ni nyingine zaidi ya hii?!
 
Back
Top Bottom