24/7


24/7, 30/12 ×10, sounds like breaking a record
 

Ni sawa lakini kaweka historea ya safari kwa rais wetu mpendwa na sijui hii rikodi itakuja kuvunjwa na rais gani tena dunia nzima kwa sasa wanaijua tanzania ilipo na hata hiyo misaada huwa hatukosi kwa kufahamiana na dunia nzima
 
Leo yupo usa so rekebisha mahebu yako hapo juu
 
Urais mtamu jamani kha! Cjui na mm nitangaze nia, nikishindwa walau naweza ambulia hata unaibu waziri au ubalozi wa Uzbekistan???
 
Huwa anaenda wapi? huko anakoenda kila akifika huwa anapigiwa mizinga? kila siku hodi? nielewesheni jamani.
 
samahani niulize...

ina maana ametoka haraka haraka kiasi kwamba 'kazi nyingine' inabidi afanye kwenye ndege? au labda pengine ni 'unyeti' wa taarifa zenyewe au 'mazingira' ya hapo ni kondusivu zaidi au??
 
"AIR FORCE ONE " ya bongo iliyowafanya mle majani ili kuinunua; huku wengine wakikokotoa 10%!!!!!
 
samahani niulize...

ina maana ametoka haraka haraka kiasi kwamba 'kazi nyingine' inabidi afanye kwenye ndege? au labda pengine ni 'unyeti' wa taarifa zenyewe au 'mazingira' ya hapo ni kondusivu zaidi au??

Anasaini mikataba ya wachina kabla hajafika huko
 
Huwa anaenda wapi? huko anakoenda kila akifika huwa anapigiwa mizinga? kila siku hodi? nielewesheni jamani.

Kuomba mikopo ya masharti ndio maana thamani ya shilingi yetu inashuka kila kukicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…