Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,852
- Thread starter
- #61
🤔🤔 duh, kwani hili neno hela nyingi lina maana gani, mimi nilijua huko itakuwa ni mwendo wa kula bata tu!!!ukitumia vibaya hela zikaisha, hakuna kurudi Tz ukale mihogo, itabidi ukamae huko huko 😅😅