Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 90,523
- 179,216
Tunaanza maandalizi ya mazishi.Hiii kiazi ina matatizo ya akili
Tunaanza maandalizi ya mazishi.Hiii kiazi ina matatizo ya akili
Wapo kaka anataka kumtorosha teacher Ras ampeleke Spain 😂😂😂🤣🤣 kumbe wapo tu bado!
😂😂😂 Huu wakimafia kaka we haushiriki ila unapata mgao wako kama blood Si unaelewa mwenyew🤣🤣🤣 ahaa sawa, lakini ni michongo gani hiyo mbona hamnishtui ndugu yenu?
Basi kibosi kaka 'GUVU MOYA'😂😂😂 Huu wakimafia kaka we haushiriki ila unapata mgao wako kama blood Si unaelewa mwenyew
Ila tafuta nchi ya kwenda au UBAKI uende jela 😂😂😂😂😂😂😂😂Basi kibosi kaka 'GUVU MOYA'
🤣🤣🤣🤣🤣 Sasa mimi nitajulikana vipi na sijashiriki?Ila tafuta nchi ya kwenda au UBAKI uende jela 😂😂😂😂😂😂😂😂
Ni usalama tu SI unajua we ndio ndugu yetu wanaweza kukusearch mpaka wakupate 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 Sasa mimi nitajulikana vipi na sijashiriki?
🤣🤣🤣🤣 dah sasa naweza kwenda wapi ambako maisha yake yanafanana na bongo!!! Maana hii bongo ni tamu kwa masikini acha tu.Ni usalama tu SI unajua we ndio ndugu yetu wanaweza kukusearch mpaka wakupate 😂😂😂😂😂
Mzigo ukitik sahau kuhusu kuwa masikini kijana tunarud kwenye life la Bata batani mpaka tuzeeke 😂😂😂🤣🤣🤣🤣 dah sasa naweza kwenda wapi ambako maisha yake yanafanana na bongo!!! Maana hii bongo ni tamu kwa masikini acha tu.
Kumbe ni mpunga wa maana! Basi .mungu baba afanye wepesi mimi nitajichimbia Brazil kula shombeshombe.Mzigo ukitik sahau kuhusu kuwa masikini kijana tunarud kwenye life la Bata batani mpaka tuzeeke 😂😂😂
inabidi tuaandae mkakati wa kuanza kushawishi watu nchi iuzwe kila mtu achukue chake au sio Muimba SINGELI 😁😁Mzigo ukitik sahau kuhusu kuwa masikini kijana tunarud kwenye life la Bata batani mpaka tuzeeke 😂😂😂
Bila shaka kaka, ila shida ni kwamba tutapata nchi nyingine ambayo kila sekunde kuna kichekesho kipya kama hapa bongo?inabidi tuaandae mkakati wa kuanza kushawishi watu nchi iuzwe kila mtu achukue chake au sio Muimba SINGELI 😁😁
😂😂😂KabisaBila shaka kaka, ila shida ni kwamba tutapata nchi nyingine ambayo kila sekunde kuna kichekesho kipya kama hapa bongo?