.............................. ...............

moshial

Member
Mar 20, 2012
39
2
Kuna Baba mmoja alimkamata mtoto fulani kwa
kosa la kumtania kwamba anakichwa kama
mafiga,baba yule alimchukua mpaka kwa baba
wa mtoto yule,MAMBO YALIKUWA KAMA HIVI:
BABA WA MTOTO: Na huyo tena,kafanya nini?
BABA WA PILI:Huyu mtoto wako nimemkamata kwa sababu amenitania kwamba nina kichwa
kama mafiga,na nilipomuuliza kwamba kwa nini
ananitania hivyo akasema kwamba wewe ndiye
ulimwambia kwamba mlikuwa mnanitania hivyo
shuleni. Mara mtoto akadakia MTOTO:Baba huyu
ni mwongo tu amebadili maneno,yeye ndiye aliniambia kwamba kuna siku walikukimbiza na
kukubaka. Baba wa mtoto alitaka kuvunjika miguu
kwa kumkimbiza jamaa .......................................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom