....................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

.......................

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by CUTE, Mar 21, 2012.

 1. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mzee mmoja alikuwa amekaa kitandani anasoma kitabu mkewe akawa amelala chali pembeni yake mara mzee akaingiza kidole ukeni mama akauliza mze vipi nikupe mzee amaksema hapana naloanisha kidole nifungue ukurasa mwingine
   
 2. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jamaa alifumaniwa na mke wa watu akatoka mbio hadi kwa mkewe uchi alipofika akaulizwa na mkewe kulikoni akasema majambazi wamenivamia wamenipora hadi nguo mkewe akamwambia kweli hao majambazi wakorofi wamekuvisha hadi kondom walitaka uwafanyeje
   
 3. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hahahahahaaaa
  Chezeya jambazi ambalo ni certified David cameroon wewe!!!
   
 4. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  duh.mzee ni nomah
   
 5. ngulinho

  ngulinho JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah! hii kali
   
 6. The only

  The only JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  Nakupa tena na hii ! Jamaa baada ya kufumaniwa alibahatika kutoka na shati mbio hadi kwake alipofika tuu mkewe:utakuwa umefumaniwa mamawee,mume :yaani mke wangu badala ya kumshukuru mungu kwa kunikuta mzima majambazi yamevamia baa na kuua mi nimenusurika ,mke maskini kwa hiyo wakakupa na alama ya lipstic kwenye shati
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  huyo mzee kwere asee!
   
 8. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,034
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Eeehh!! nimefumba macho.
   
 9. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  kwikwikwikwi cute ur not serious
   
Loading...