>----------------------------->>>

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,372
kuna wawindaji wawili walienda kuwinda walipofika msituni wakiwa na gari yao wameipaki...karibu na msitu jamaa wa kwanza alikua mtaalam wa kuchuna ngoz na wa pili ndo mwindaji hodar..basi ikabidi aanze mwindaj aingie msituni kuwinda..alipofika umbali kidogo na gari mara akakutana na simba.,jamaa ikabidi aanze kutoka mbio za kufa mtu huku akimwambie mwenzake fungua fungua..alipofika karib na mlango ili angie akadondoka na simba kwa bahat mbya alipomkosa alikua ameruka ameingia ndani... Jamaa mwindaji akamwambia mwenzake huyo hapo wa kumchuna ngoja nikakuletée mwingine., sasa pata picha wewe ndo mchunaji ngozi​
 
cheki walivyo wanafki.

Beatrice – Shosti, mume wangu
ananisaliti.
Grace – Umejuaje?
Beatrice – Nampigia sim
namuuliza uko wapi, ananiambia
yuko na Danny wakat Danny
mwenyewe niko nae guest?? Si
unaona huyu mwanaume
alivyokosea uaminifu?
​
 
Mke:natamani ningekuwa gazeti ili unishike na kunisoma kila siku.
Mme:napenda pia uwe gazeti ili niwe nabadilisha kila siku
 
Majamaa watatu wakiwa jela.

Mbakaji:nilivyo na hamu hata paka angetokea hapa ningembaka mpaka afe.
Mwuaji:na mimi ningeendelea kubaka huo mzoga wake.

Shoga katulia zake kwenye kona akisema >>>>>meeeeoowwwwwwwww​
 
cheki walivyo wanafki.

Beatrice – Shosti, mume wangu
ananisaliti.
Grace – Umejuaje?
Beatrice – Nampigia sim
namuuliza uko wapi, ananiambia
yuko na Danny wakat Danny
mwenyewe niko nae guest?? Si
unaona huyu mwanaume
alivyokosea uaminifu?
​

Kweli mume ni mwaminifu zaid
 

we mkaree
 

***
Ole wake nikipona.
 

Jamaa watatu walienda kuwinda porini wakapaki gari yao mbali kidogo , walipofika mbali kidogo wakakutana na simba ikabidi warudi mbio walipopaki gari, wawili walikuwa na speed kali walipofika wakaingia chini ya gari kujificha, Muda kidogo akaja mwenzao akarukia ndani ya gari akaliwasha huyoo akasepa zake
 
Pesa haina adabu!
Tajiri: Shekhe nataka umswalie mmbwa wangu ktk maziko yake.
Shekhe: Huwa hatufanyi sala hizo jaribu kwengine.
Tajiri: ntampata nani ataenisaidia manake nna sadaka ya mil 10 hapa?
Shekhe: Heem we hukusema km mmbwa wako muislam eti, nipe mie ntamswalia.
 
Ngoja nilale baada ya kunipa furaha,ukiangalia leo niko mwenyewe.ASANTE EX kwa kunifurahisha
 
ha ha ha umenikumbusha ile sinema ya "gods must be crazy"
 
Hahahaha hahahahahahaha,
haki yanani nimechaka khaaaaa!
hahahahahahhaaaaaaaaaa!
Habari yake mchuna ngozi bana lol!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…