Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,369
Jamaa kakutana na demu kwenye soscial network wakaanza kuchat,jamaa kaomba email ya demu ili wawasiliane zaidi,
demu kampa hii.
ninaboyfriendwangunampenda@yahoo.com
jamaa kampa na yake
tunafanyamapenzikisiri@hotmail.com
demu kampa hii.
ninaboyfriendwangunampenda@yahoo.com
jamaa kampa na yake
tunafanyamapenzikisiri@hotmail.com