2055 ni zamu ya ZNZ kutoa Rais

2055 ni zamu ya ZNZ kutoa Rais

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,757
Itakapofika mwaka 2055 utakuwa wakati muafaka kwa ndugu zetu toka ZNZ kutoa kiongozi was nchi hii. Ni vema nao wakatoa kiongozi mkuu was nchi baada ya kipindi kirefu ya maraisi tolast bara. Asanteni
 
Kumbuka ZNZ ni sehemu ya Jamhuri hivyo want haki hiyo
...Lakini Zanzibar ni nchi, na ni wazanzibari wenyewe ndo wanataka kutambuliwa hivyo kwa utaifa wao wa uzanzibari! Na ukitaka ugomvi na mzanzibari yeyote hebu sema tu kuwa Zanzibar si nchi ila ni sehemu tu ya jamhuri ya muungano..! Sasa kama wana nchi yao ni kwa nini watake kuupata urais kwenye nchi nyengine(bara)?
 
Mwinyi Sr. Kaanza kumtengenezea wepesi mwanae kwa Mwenyekiti (jembe baki) ili iwe rahisi kwenye kupitisha majina 2020. Maalim wakati huo atakuwa kashaanzisha chama chake maana Prof. Hatampitisha asilani kwenye KUF
 
Itakapofika mwaka 2055 utakuwa wakati muafaka kwa ndugu zetu toka ZNZ kutoa kiongozi was nchi hii. No vema nao wakatoa kiongozi mkuu was nchi baada ya kipindi kirefu ya maraisi tolast bara. Asanteni
Kwani tatizo ni wao kutoa rais au ni mwenendo mzima wa kura za wanaochagua?
 
Itakapofika mwaka 2055 utakuwa wakati muafaka kwa ndugu zetu toka ZNZ kutoa kiongozi was nchi hii. No vema nao wakatoa kiongozi mkuu was nchi baada ya kipindi kirefu ya maraisi tolast bara. Asanteni
Ha ha haaaa,
Pengine ikifikia huo muda Zanzibar itakua ni nchi huru inayojitegemea
 
Tumirogwa? Inasikitisha tuna tabia inayofanania maiti
 
Back
Top Bottom