2055 ni zamu ya ZNZ kutoa Rais

Mwinyi Sr. Kaanza kumtengenezea wepesi mwanae kwa Mwenyekiti (jembe baki) ili iwe rahisi kwenye kupitisha majina 2020. Maalim wakati huo atakuwa kashaanzisha chama chake maana Prof. Hatampitisha asilani kwenye KUF
38 years
 
Kwani kuna ukomo wa mtanzania kugombea uraisi? Mhe. Dovutwa unajua umri wake?
Mkuu sef kama sijakosea kazaliwa 1943
Sasa ana miaka 73
Kwa mwaka 2055 miaka 38 ijayo
Atakuwa na 111
Kwa umri wa watanzania, kwa usoefu wa watanzania wenye umri huo
1. Haoni vizuri.
2. Hawezi kutembea sawasawa
3. Hana mawazo sawasawa (kufikiri)
4. Ongezea wewe
 
Itakapofika mwaka 2055 utakuwa wakati muafaka kwa ndugu zetu toka ZNZ kutoa kiongozi was nchi hii. Ni vema nao wakatoa kiongozi mkuu was nchi baada ya kipindi kirefu ya maraisi tolast bara. Asanteni
kwani si wana nchi yao?
iweje mtu utake kuwa kiongozi kwenye nchi nyengine?
 
Back
Top Bottom