2030 ni miaka 4 na miezi kadhaa tu, sio mbali!

Voltaire

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
1,840
Reaction score
1,934
Kwa kilichotokea Oct 29/2025, na kinachoendelea sasa kinatafakarisha saaaana tutapouendea uchaguzi mkuu wa 2030.

Mihimili yote mitatu inaonekana wazi kabisa inajiendea ili mambo yaende na kula zao ziendelee kuwepo tu,haihitaji degree ya chuo kikuu kuliona hilo!

Bunge limekuwa la kusifia tuuuu..hata visivyohitaji kusifiwa!
HIi itakuwa ni solution ya muda mfupi na itambeba aliyeko madarakani, ila taasisi kama taasisi itakuwa na wakati mgumu sana kujiuza 2030 otherwise kama mpango ni kuua tena ili kubaki madarakani!

Ukweli uko wazi,miradi mingi iliyoko chini ya Tanroads na Tarura haina fedha, imekwama!
Hapa kuna kazi inahitajika kufanywa, haihitaji blablaaa!
Ufisadi unafanyika sasa hivi,kufuru!

Kudeal na wapinzani kwa mkono wa chuma kama M7 sio style ya Tz na kwa structure sioni ikiwezekana kwa muda mrefu, unapoendelea kuwatesa na kuwafunga kwa makosa madogo madogo mnatengeneza usugu ambao oct.29 mlioonesha hamna uwezo wa kudeal nao zaidi ya kuua watu weeengi kwa risasi zilizoninunuliwa kwa kodi za mnaowaua!

Mihimili ijikite kwenye kusimamia kazi zake
MAthalani mahakama,iwe kweli ni chombo cha kutoa haki, bunge liisimamie serikali ili kazi ziende sio kusifu sifu tuuu hadi kero, drama za wakatoliki ziachwe mara moja zinachafua nchi na hazina tija...

2030 sio mbali kama inavyoonekana, kuna kazi kubwa ya kufanya kuliko sifa na ngonjera zisizo na msingi!
 
Hii serikali haramu hata June 2026 hafiki, imebaki kazi ndogo sana kuwafurusha wahuni.
 
Back
Top Bottom