comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,248
- 16,561
π€£π€£π€£π€£π€£ Hajawahi hata kuligusa kashindwa na mtoto anayejinyea
Taratibu naona mmeanza kusogea mmoja mmoja.
Hadi nguvu ya kucheka unayo??π€£π€£π€£π€£π€£ Hajawahi hata kuligusa kashindwa na mtoto anayejinyea
Mimi GOAT wangu nilikua namdai wedikap, akaichukua 2022 maana ndio kilichokua kimebaki, wewe wako Bado unamdai na hiyo inakupain sana kwenye uwanda huu wa soka la DUNIA kuona kashazeeka ndoto zimezama.Hadi nguvu ya kucheka unayo??
Of course nilijua kuna watu wana ustahimilivu kwenye maumivu.
Ila sikukadiria kama itakuwa kwa ukubwa huu.
Endeleeni kuni prove wrong.
Picha tu umeumia hivi hadi kutaka kunipangia cha kufanya.Taratibu naona mmeanza kusogea mmoja mmoja.
Leo umeanza na post moja, keep going bro that's big progress I can say.
Kesho unaweza kuachia mbili mpaka tatu kulingana na hali ya majeraha maana vidonda najua bado ni vibichi.
And I promise you, when you post it I will be there to congratulate for the little step that you've made.
Nyie ndio mfano halisi wa ile kauli maarufu ya "time heals"
Baada ya game ilionekana ngumu sana kutegemea kuona hiki ulichoweza kukifanya leo.
Could you give us some tips, so maybe we can help other brothers too who shared the same pain but donβt seem to have recovered yet?
Da'Vinci herman joshua ombeni maujanja hayo kwa jamaa sio mpaka mimi nijiongeze.
Nitawasaidia mpaka lini? Kuna muda na mimi nitakuwa nachoka, jiongezeni.
Labda wale wa Kawe wanaovuka barabara wenyewMbuzi π₯π₯π₯
π€£π€£π€£π€£Labda wale wa Kawe wanaovuka barabara wenyew
Ana mambo km aliishi Buguruni
Ana mambo km aliishi Buguruni
Ni kweli sio Issue mn ht WC ni sawa na Saudia Pro league trophyMashabiki zake wa jf wanasema wc sio ishu
View: https://www.instagram.com/reel/DZiPY15MCbO/?igsh=N2VrdnB4MnBtb3o=
Mimi simdai kitu.Mimi GOAT wangu nilikua namdai wedikap, akaichukua 2022 maana ndio kilichokua kimebaki, wewe wako Bado unamdai na hiyo inakupain sana kwenye uwanda huu wa soka la DUNIA kuona kashazeeka ndoto zimezama.
Nice progress man, keep pushingPicha tu umeumia hivi hadi kutaka kunipangia cha kufanya.
Gazeti lako hili linaonyesha uliyoyajaza ndani yako.
Cry more Anko.
π€£π€£π€£π€£ Hii Kali sijawahi kusikia, kumbe kipimo cha kua MCHEZAJI mzuri ni kucheza serie A na premier league πππMimi simdai kitu.
Labda huyo GOAT wako ili aweze kukaa kwenye uzani sawa na Ronaldo at least akacheze EPL na a-maintain ubora
Akitoka hapo aende Italy kwenye ligi yenye mabeki wagumu aka shine na huko.
Baada ya hapo akachukue na UEFA 3
Hapo tutakuwa sehemu sahihi kufanya comparison.