2026 FIFA World Cup - Special Thread

Mimi kwa sasa niache nipo kwenye sherehe za ubingwa mambo ya kurudia mtajua wenyewe
 
Maisha yanaenda Kasi sana
Mashabiki wa Argentina ndio mashabiki pekee waliochagua timu Yao kushangilia toka ligi inaanza
Na walivyofika final
Wakasema goti anaenda kudouble makombe
Punde si punde Goti amedhalilishwa uwanjani kiasi kile hadi anataka kupigana ngumi
Wao wanasema eti wamefurahi
furaha wanatoa wapi?
Tutawafuatilia
 
Habari ya mechi ya fainali kurudiwa imechelewa kunifikia.

Naomba radhi sana kwa kuandika uzushi wa kwamba Messi ametolewa.

Ngoja tusubi hiyo tarehe 33 mwezi wa August tuone nani bingwa.
Kabla ya hapo pia kutakuwa na mcheza wa hatua ya 16 bora wa marudio kati ya Spain na Portugal nao tunausubiri kwa hamu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…