2026 FIFA World Cup - Special Thread

Unajua hata Ligi namba moja kwa ubora duniani ni ipi?

Hivi unafikiri tunaposema Ronaldo ni GOAT kwasababu kacheza ligi 3 katika ubora uleule unadhani tunakosea?

Kama Messi league 1 ya Ufaransa ilimshinda, unawezaje kuwa na guts za kuidharau EPL?
 
Mchango wa goli kwa ligi WC 2026
🥇 Premier League (England) – magoli 46
🥈 La Liga (Hispania) – magoli 26
🥉 Bundesliga (Ujerumani) – magoli 18
Ligue 1 (Ufaransa) – magoli 16
Serie A (Italia) – magoli 14
 
🚨🗣Toni Kroos on Argentina world cup:

"All I can say is that, football won today, they got the easiest path to the final"

"And they still got help from the Referees and some of the higher authorities too, I am sure 90% of the world was supporting Spain today and we all know why"
 
Mkuu sonona itakuua, habari za Messi achana nazo. Huyo mbuzi wako hakuna kitu hata kimoja anachomzidi Messi zaidi ya urefu na followers instagram 😂😂
Uko wapi?

Yale makeke na ucheshi wako saizi siyaoni.

Imekuwa ghafla sana, shida nini Mkuu?
 
Cristiano anawaumiza sana kina Scars ni vile tu hawawezi kukiri. Imagine hiyo performance ya goat wao. Huyu ni goat kweli au Magoti Mkama wa Ukerewe?
Kwanini Argentina ikifungwa mashabiki wake wote mnaingia shimoni?


Nataka nijue siri ya huu umoja wenu ni nini?

Huwa mnaambizana au inatokea tu automatically?

Kwasababu ni jambo ambalo linanifikirisha sana.
 
Jana muda kama huu ndio tulianza safari yetu ya kusherehekea ushindi wetu.

Happy 1 day anniversary to all those celebrating.

We finna catch up later, let's take a lil break for a while
 
Stats za Messi kwenye World Cup fainal ya 2014 vs Germany 🇩🇪:
1 key pass.
2 crosses (0 accurate).
25 accurate passes (69%).
3 accurate long balls (60%).
4 shots (0 on target).
1 big chance missed.
7 successful dribbles (12 attempted).
27 times possession lost.
9 duels won (24 contested).
0 goal.
0 assist.

Messi kwenye World Cup final ya 2026 vs Spain 🇪🇸:
0 key pass.
5 crosses (1 accurate).
27 accurate passes (79%).
1 accurate long ball (20%).
1 shot (0 on target).
3 successful dribbles (3 attempted).
15 times possession lost.
8 duels won (12 contested).
0 goal.
0 assist.

Which team did a better job at containing the GOAT?
 
Mi kama die fan wa shabiki wa Ronaldo kiukweli sina tatizo kabisa na Messi

Tatizo langu kubwa siku zote ni ule upendeleo wa FIFA na injustice wanayofanya.

Messi na Ronaldo wote ni wachezaji wazuri, most talented and gifted football stars. Lakini hata hivyo kuna mmoja amekuwa protected sana na mifumo wakati huyu mwingine ni mpaka apitie misoto ya changamoto ndio apate hiyo recognition.

Of fourse nakubali kuwa ubora unapaswa kushangiliwa na sio sawa kutumika kama instrument ya kugawanya.

Uwe shabiki wa Ronaldo au Messi, wote tunahitaji kuwaona hawa viumbe kama role model and source of motivation, kwenye real life hata katika ulimwengu wa soka.

Kwangu mimi, nimechagua kum idolize yule ambaye alisimama against an entire system na bado aka out perfom na kuwa kwenye kilele cha juu cha ubora.

Namchagua mtoto mwenye umri wa miaka 12 aliyetokea kwenye kisiwa cha Madeira Ureno akiwa hana kitu, na kwenda kuwa bilionea wa kwanza kwenye historia ya mpira wa miguu kupitia kipaji chake.

Mwisho wa siku, I don’t take pleasure in someone’s pain or downfall. But the way some of you take pleasures in Cristiano Ronaldo’s down falls speaks volumes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…