comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,274
- 16,669
π€£π€£π€£π€£ Kwa mujibu wa Scars huyo jamaa ni zaidi ya maradona na pele
Zero WC final sio Medal wala WC..π€£π€£π€£π€£ Kwa mujibu wa Scars huyo jamaa ni zaidi ya maradona na pele
Zero WC final sio Medal wala WC..
Mimi namkubali Messi, ila ronaldo kilichochangia kukosa wc hata final yupo kwenye timu ya kawaida sana Haina historia yoyote worldcup imezidiwa Hadi na CroatiaZero WC final sio Medal wala WC..
Mimi namkubali Messi, ila ronaldo kilichochangia kukosa wc hata final yupo kwenye timu ya kawaida sana Haina historia yoyote worldcup imezidiwa Hadi na Croatia
π€£π€£π€£π€£ Funguka Mzee usijali, Mimi mwenyewe baada ya kutoka yule mmakonde nikajua tuu kazi imeisha
Mwenye timu ndio yule alipasuka msamba kumzuia yule mchezaji wa Barcelona baada ya pale ...... Nihakikishie ulinzi kwanza.
Simchukii Messi, na appreciate kila kitu alichofanya kwenye ulimwengu wa soka japo mashabiki wake mmekuwa mki exaggerate l.π€£π€£π€£ Ni kweli ronado ni zaidi hata ya maradona na Pele, kwanza ana makombe yote, jamaa anajua sana aisee
Uliona aliebebwa Conference walipomfunga Spain ndio huyo aliumia na timu ikaumia.π€£π€£π€£π€£ Funguka Mzee usijali
Kama World Cup ndio inayo define ubora wa mchezaji basi Kolo Muani ni bora kuliko Harry Kane, Haaland, Neymar, ViniZero WC final sio Medal wala WC..
Hapana,Kama World Cup ndio inayo define ubora wa mchezaji basi Kolo Muani ni bora kuliko Harry Kane, Haaland, Neymar, Vini
KWANI Nico yupo Barca? Maana Barca watamhitaji vipi Nico na namba yake washamsajili muingereza Anthony Gordon
Hahaha ngoja ninyamazeNico yupo Athletic Club, Barca walitaka kumsajili akawatumia kupandisha mshahara wake alipo kisha akawatosa. Hivi mkuu huwa unafatilia soka ama ndo umeanza juzi kufatilia kisa mbusi ndani ya world cup
Unajua maana ya mafanikio binafsi lakini?Hapana,
Ukiweka mchuano hapo huwez kusema eti kilo ni Bora kwa Kane, hapana,
Watu wanasema Messi ni Bora zaidi ya ronaldo maana vitu vingi walikua wanafanana kwenye mafanikio binafsi ila Messi kamzidi hatua Moja mbele kwa upande wa timu ya taifa, sasa Kane na kolo wanafanana kwenye Nini ?
Umeisaidiaje timu Yako kuchukua kombe ngazi ya taifa? Magoli ya timu ya taifa ya mechi za kirafiki nayo yapo?Unajua maana ya mafanikio binafsi lakini?
Kombe utasema mafanikio binafsi?
Kati ya Messi na Ronaldo nani mwenye magoli mengi kwenye timu yake ya Taifa?
Yeye anasema wc sio ishu sana, anasema hata kolo mwani analo πππHapa kina Scars wanapita kimya kimya.
Yule Mbuzi wa Ureno..Nani huyo?
Jamaa anaitwa scars atatoka na mapanga mda sio mrefuYule Mbuzi wa Ureno..
Mafanikio ya Messi unayadunisha kweli kweli ila uhalisia Kila mdau wa Soka anauona.Simchukii Messi, na appreciate kila kitu alichofanya kwenye ulimwengu wa soka japo mashabiki wake mmekuwa mki exaggerate l.
Lakini ukweli unabakia kwamba Ronaldo ndio GOAT. Tushaona mtu yeyote anaweza kushinda World Cup, Italy na Brazil wanechukua back to back.
Pedri naye anakuwa ni miongoni mwa wachezaji waliobahatika kushinda World Cup licha ya stats zake zilivyokuwa za mashaka ambazo wote tunazijua.
Lakini kile ambacho Ronaldo ame achieve kwenye soka ni zaidi ya extraordinary, kufanya alichofanya Ronaldo kunahitaji zaidi ya kipaji ili kufikia ile level.
Pengine asingekuwepo Ronaldo huwenda ningetakiwa kuchagua kati ya Messi na Pele.
Lakini kwasababu Ronaldo Aviero Dos Santos yupo, wala hakuna haja ya mjadala.
Messi's only crime was existing in the same generation as CR7, because there can only be one GOAT, and it can't be anyone else when CR7 is still in the picture.
Mimi Messi hata asingekua na magoli meng na mafanikio makubwa, Ile style of playing sio mchezo, Kuna mda anacheza kama namba 8, mara nyingne namba 10, Kuna mda anatokea pembeni, Mimi kwanza siwezagi kufananisha wachezaji ambao hawafanani kama messi na ronadoMafanikio ya Messi unayadunisha kweli kweli ila uhalisia Kila mdau wa Soka anauona.