2026 FIFA World Cup - Special Thread

Torres Vs Zlatan

— 1 World cup ✅ 404 not found❌
— 1 Goal provided✅ 404 not found❌
— 1 Assist given ✅ 404 not found❌

So Zlatan a.k.a fake lion is cooked using his own logic

 
It’s not easy to accept reality when cheating and corruption can’t gain access to the field.
Your browser is not able to display this video.
 
Mashabiki wa Argentina baada ya kufungwa wakataka kufanya maandamano kuchukua kombe kinguvu.

Hapo ndio ikabidi Murilo na vijana wake waingilie kati.
Your browser is not able to display this video.
 
Mchezaji aliyemaliza kila kitu kwenye mpira akicheka kama ishara ya kufurahia ushindi wa fainali dhidi ya Spain
 
Nilisahau kutoa shukrani za dhati kwa uran kwa kuanzisha huu uzi. Shukrani kwa wote mliokuwa mkipita hapa kila siku kwa coment na mapicha.
Niwatakie wote afya na baraka tele. Mkae na amani ya bwana.
 
Mkuu, kuna shida mahali. Messi unayemshusha hivi ni huyu wa world cup au ni yule mwenye vikombe vingi kuliko mchezaji yoyote aliyewahi kucheza soka la ushindani? Yule mwenye baloon d'or 8.? Kama ni huyu dunia inayemjua basi ndugu yangu utakuwa na shida mahali.
 

GOST - Greatest Of Some Times 🐐
 
Punguzaga uongo anzia na ile anaingilia mchezo karibia na 18 na kumpora mpira mchezaji wa spain akitokea katikati ya uwanja.
 
Tofautisha emotinal na kulia. We umati wote jukwaani kuanzia dk ya kwanza hadi mwisho wanachant jina lake messi messi messi afu usipatwe na hisia?
So ile ilikuwa ni kilio cha furaha??

Haya, na hii unaelezeaje?

Naambiwa mpaka sasa kagoma kutoka uwanjani
 
Messi's goals this World Cup:

🇩🇿 Algeria ⚽️⚽️⚽️
🇦🇹 Austria ⚽️⚽️
🇯🇴 Jordan ⚽️
🇨🇻 Cape Verde ⚽️
🇪🇬 Egypt ⚽️
🇨🇭 Switzerland ❌️
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 England ❌️
🇪🇸 Spain ❌️
Your browser is not able to display this video.
 
Cristiano Ronaldo alimuona Khusanov akiziba mdomo wakati anaongea na Ronaldo.

Ronaldo akiwa na tabasamu akamwambia "usizibe mdomo tena vinginevyo utatolewa kwa kadi nyekundu"


Messi alionekana kuandamana akidai Cocurella apewe kadi nyekundu kwasababu alikuwa akiongea huku ameziba mdomo

Lakini bado Ronaldo is constantly portrayed as the villain, while Messi is often presented as the humble, kind, and respectful one.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…