2026 FIFA World Cup - Special Thread

Messi hakufanya pressing, tracking back, wala marking na hakuwa na mchango wowote kwenye eneo la ulinzi.

Kamaliza game akiwa na idadi ya magoli 0 assist alizotoa 0 na dribbles alizokamilisha 0

Kocha wa Argentina Scaloni alitakiwa kumuanzisha mchezaji mwenye damu changa ambaye ana njaa ya mafanikio ambaye angekuwa na madhara makubwa kama Lautaro Martinez.

Badala yake kaenda kumuanzisha mzee wa miaka 39, aliyechoka, mbinafsi the glory hunting grandpa.

Messi alikuwa anawasaidia Spain kuwakaba Argentina and that was the biggest reason they failed to beat Spain.

The only explanation? Scaloni was too scared to bench Messi.
 
Sawa
 
Ronaldo unamshindanisha na timu nzima? Mimi nmesema post MCHEZAJI WAKO unaemkubali mwenye WEDIKAPU, wangu Messi Alisha complete football
Kama amemaliza kila kitu, unaweza kuelezea kwanini jana alikuwa analia?
 
Rodri kalamba zote huyu mwamba nimemnyooshea mikono.

Mchezaji bora wa
World cup
Uefa Euro
Uefa nations league
Uefa champions league

Mashindano yote haya waliochukua Rodri alikuwa mchezaji bora hatari
Atachukua kwa mara nyingine Ballon d'Or.
Subiri tuone
 
Messi katolewa lakini ukweli utabaki kwamba Ronaldo Hana world cup
Messi ingawa amekosa Kombe kwenye fainali hizi na hata kama atastaafu Anastahili sifa nyingi.
Ameufanyia mambo mengi mchezo wa soka.
Katika wachezaji wa zama hizo anastahili pongezi na sifa nyingi.
Sasa ni zamu ya akina Yamal, Pau Cubarsi nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…