Mi sio fan wangu huyo ht hainipi shida ndo maana nilikuwa naboreka humu kila siku RonaldoπSawa Spain ameshinda ila haibadili kua Ronaldo ana staafu bila kugusa medal ya WC
Nimesikia raha sanaπNdio
Watt wa afu na 5 wamefanya yaoπ π π
Hahahaha Scars njoo bwana watu wamekimbia uzikabisa, ila ni jeshi la mtu mmoja. alikuwa anaweza kupangua kijiji kizima kwa hoja
By then I'll already be in my thirties na kidogoutakuwa na umri gani? mumeo atakuruhusu? tuende uwanjani kabisa
Ronaldo ni mbuzi dumeMi sio fan wangu huyo ht hainipi shida ndo maana nilikuwa naboreka humu kila siku Ronaldoπ
atakuwa amelala, world cup ilituchosha sanaHahahaha Scars njoo bwana watu wamekimbia uzi
wanafiki sana
Tutawafuatilia πΉTunawajua π π π
sawa, mrembo mzuri.By then I'll already be in my thirties na kidogo
Haya sawa diha uzima ukiwepo 2030Mi sio fan wangu huyo ht hainipi shida ndo maana nilikuwa naboreka humu kila siku Ronaldoπ
Refa wa Jana alikuwa hacheki na wowoteπ π tatizo watu ni wabishi sn
Ninazo nyingine πsawa, mrembo mzuri.
lakini habari mbaya hiyo Argentina yako itakuwa hoi sana.
Vijana wametusaidia kuondoa Internet pollution hawa team dwarf wangetusumbua sana.Ndio nilikuwa na uhakika na vjn wanguπ π
Tafuta picha ya Ronaldo na Badr Hari
Basi kumbe nilipoteza muda wangu kuwashabikiaWangechafu sana hapa ,serikali ya israel walishasema wanamuunga mkono Argentina ..
KabisaVijana wametusaidia kuondoa Internet pollution hawa team dwarf wangetusumbua sana.
π π π πRefa wa Jana alikuwa hacheki na wowote
Hana penati za bure
Gaat baada ya kukosa on target hata moja, na penati hata moja hakupata.
Inauma sana
Dakika 120 winga wenu ana 0 shotWalikuwa makini sana wasimkere...