Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,659
- 23,139
Duuhh, wahuni pro maxNdo maana watu wengi walikuwa Wanataka Hispania ishinde!View attachment 3633185
Argentina wapuuzi
Dadeki nililala na mawazooo
Kweli tumerudi wenye roho mbaya pro. Hongera kwa ushindi wa dogo, I know we jana ulikuwa kotekote
Wapumzishe Mkuuππ
Huyo MbappΓ© ondoa kwenye hiyo list hastahili kamaliza msimu trophyless
π Messi amekamilisha football, hii ilikuwa nyongeza tu. Tuonyeshe Penaldo akibeba kombe la duniaWalitusimanga sana. Wateseke na waoππππ€£π€£π€£View attachment 3633228
π Messi amekamilisha football, hii ilikuwa nyongeza tu. Tuonyeshe Penaldo akibeba kombe la dunia
Kumbe mbuzi alilia sana eeh!!!? me nilimuona kakaa tu hataki kuinuka....nikajua jana atalala uwanjaniWalitusimanga sana. Wateseke na waoππππ€£π€£π€£View attachment 3633228
Kumbe mbuzi alilia sana eeh!!!? me nilimuona kakaa tu hataki kuinuka....nikajua jana atalala uwanjani
Walikuwa makini sana wasimkere...Oooh Messi akikasirika anafanya maamuzi magumu.
Oohh isitokee mchezaji wa Spain akamkasirisha Messi atabadilika na kufanya kitu kibaya.
After 120 minutes "spare changes"
View attachment 3633124