Ronaldo anashikilia rekodi ya kushiriki mara nyingi world cup na bila kushinda hilo tajiMessi ndiye mchezaji anayeshikilia rekodi kwa kupoteza fainali nyingi
Muone huyu??Hakuna sherehe hapo wewe inawezekana ukawa unaumia kwa ndani maana umekuwa ukiwaponda sana wachezaji wa Barcelona
Real Madrid wamepata mabao Barcelona wamepata taji, kila mtu ajivunie chakeMuone huyu??
When you bring up Ronaldo’s name in the middle of an Argentina debate, that’s what we call a cold day in hell.Ronaldo anashikilia rekodi ya kushiriki mara nyingi world cup na bila kushinda hilo taji
Sawa bhana sina neno mkuu naona Barcelona imekufurahisha🤣🤣When you bring up Ronaldo’s name in the middle of an Argentina debate, that’s what we call a cold day in hell.
Sisi twanywa supu tu
Pozi ni moja ila maelezo ni tofautiSawa bhana sina neno mkuu naona Barcelona imekufurahisha🤣🤣
Viva BarcaIla Barcelona ina mchango mkubwa sana juu ya hatma ya Timu ya Spain. Vijana ni talented vibaya mno, halafu umri ni mdogo kabisa.
Kwa namna wanavyocheza pamoja na wastani wa umri wao, wanaweza kudominate kwa muda mrefu sana soka la ulimwengu
Nimesoma.. hali yako ikoje bwana 😂Kuna watu humu huwa hawaingii kwenye huu uzi ila wakiona tu Argentina imefungwa basi wanajaa humu kibao. Ngoja niwaite wabaya wetu, team roho mbaya waje waone shoo za mungu Messi... Naomba leo afunge goli moja tu
Numbisa huyu ndo certified hater
Espy_
Makiwendo
Shadeeya
Angel Nylon
Depal
Wengine nimewasahau...
View attachment 3629780View attachment 3629781