Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,538
- 14,043
Ronaldo nae kapewa nini huko?Ina fahamika ni Mbappe
Habari ya mjini ni GOAT wenu
Ulimbeba wewe?Kushinda kwa kubebwa tu
Merino. Wa Chelsea nani?Kuna chezaji lolote la arse8 limebeba wodi kapu???
🤣🤣🤣Spain wasitulaum, Argentina tunataka shot on target 1 tu tumalize mechi. Jambo lingine Spain wasijichanganye Argentina akaenda matuta, hakika MESSI 🐐 👑 atabeba tena kombe
It was an honor watching him play 🙌
Chukua hii ujiliwazeIt was an honor watching him play 🙌
Ulimbeba wewe hapoUlimbeba wewe?
Messi ameutendea haki mpira wa miguu hatuna la kumdai kwa sasa. He’s done so much for this sport manChukua hii ujiliwaze
View attachment 3633152
Hayo sio maneno mapya kwa wafuasi wa MessiMessi ameutendea haki mpira wa miguu hatuna la kumdai kwa sasa. He’s done so much for this sport man
Mengine atuachie sisi tu kwenye kuwakanda mashabiki wa Penaldo
Labda avizie Kombe kisha akimbie naloMessi anachukua tena kiutani