Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,466
- 10,322
😹😹😹ukorofi tuu😂
Huko hajafikia, Kombe la Dunia linamtosha…rodri apewe na ballon dor
Ila wewe mwamba hufai umemkalia Messi kooniOooh Messi akikasirika anafanya maamuzi magumu.
Oohh isitokee mchezaji wa Spain akamkasirisha Messi atabadilika na kufanya kitu kibaya.
After 120 minutes "spare changes"
View attachment 3633124
Hata najua basi 😂😂😂…amefanya nini cha ziada?
Umefeli mtihani wa nectaHapana yupo mwamba ana 13 mkuu
Huko hajafikia, Kombe la Dunia linamtosha
…bora umejiwahiHata najua basi 😂😂😂
Basi mjadala wa goat ni nani umefungwa rasmi
Ribéry alistahili ile tuzo, na ndio maana zile tuzo zilileta mjadala sana kwenye ulimwengu wa soka2013 Ronaldo alibeba makombe mangapi ?